“Tutawaonyesha Ishara Zetu katika upeo wa mbali na katika nafsi zao wenyewe mpaka iwabainikie kwamba haya ni kweli. Je! Haikutoshi kwamba Mola wako Mlezi kuwa Yeye ni Shahidi wa kila kitu?”
Yafuatayo ni baadhi ya maoni ya wanasayansi juu ya miujiza ya kisayansi katika Qur'an Tukufu. Maoni yote yamechukuliwa kutoka katika mka...
Habari Mpya
Kwa Jina La Mwenyezi Mungu Mwingi Wa Rehema Mwenye Kurehemu
Soma kwa jina la Mola wako Mlezi aliye umba,
Amemuumba binaadamu kwa tone la damu,
Soma! Na Mola wako Mlezi ni Karimu kushinda wote!
Ambaye amefundisha kwa kalamu.
Kamfundisha mtu aliyo kuwa hayajui.
Kwani! Hakika mtu bila ya shaka huwa jeuri
Akijiona katajirika.
Hakika kwa Mola wako Mlezi ndio marejeo.
Umemwona yule anaye mkataza
Mja anapo sali?
Umeona kama yeye yuko juu ya uwongofu?
Au anaamrisha uchamngu?
Umeona kama yeye akikanusha na anarudi nyuma?
Hajui ya kwamba Mwenyezi Mungu anaona?
Kwani! Kama haachi, tutamkokota kwa shungi la nywele!
Shungi la uwongo, lenye makosa!
Basi na awaite wenzake!
Nasi tutawaita Mazabania!
Hasha! Usimt'ii! Nawe sujudu na ujongee!
Ishara Na Miujiza Ya Mwenyezi Mungu
Katika maisha ya wanaadamu wote, kutoka wakati wa ujana na utoto hadi wakati wanapofariki, ishara za Mwenyezi Mungu mmoja peke Yake wa kweli zinaonyeshwa kwao katika maeneo yote ya ardhi, hata katika nafsi zao mpaka ibainike kwao kuwa yupo Mwenyezi Mungu mmoja tu wa kweli (Allah). Mwenyezi Mungu Anasema katika Qur’ani:
“Tutawaonyesha Ishara Zetu katika upeo wa mbali na katika nafsi zao wenyewe mpaka iwabainikie kwamba haya ni kweli. Je! Haikutoshi kwamba Mola wako Mlezi kuwa Yeye ni Shahidi wa kila kitu?” Q41: 53
dear sir
ReplyDeleteAs salam o alaykum
dear sir i request you to add mp3 quran to your site
please visit our website
http://www.quranaudio.info/
we have above 350 + qaris recitation .
Add mp3 quran to your site. our website is free for quran download
please add quran in your site
Allah will reward you in akhira
I visit your website It's very useful Mashaa'Allah.
ReplyDeleteI add a link to your website already.